Deuteronomy 33:11


11 aEe Bwana, bariki ustadi wake wote,
nawe upendezwe na kazi ya mikono yake.
Vipige viuno vya wale wainukao dhidi yake;
wapige adui zake hata wasiinuke tena.”

Copyright information for SwhKC